Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Mei uku. 2
  • Waone Wengine Kama Yehova Anavyowaona

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Waone Wengine Kama Yehova Anavyowaona
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • “Iweni na Imani Katika Yehova Mungu Wenu”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Yehoshafati Anamtumaini Yehova
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
  • Yehova Amlinda Yehoshafati
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Je, Utauelekeza Moyo Wako Kwenye Mambo Yaliyoandikwa?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Mei uku. 2

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Waone Wengine Kama Yehova Anavyowaona

Mfalme Yehoshafati alifanya mapatano yasiyo ya hekima pamoja na Mfalme Ahabu (2Nya 18:1-3; w17.03 24 ¶7)

Yehova alimtuma Yehu kumrekebisha Yehoshafati (2Nya 19:1, 2)

Yehova alikumbuka mambo mazuri ambayo Yehoshafati alikuwa amefanya (2Nya 19:3; w15 8/15 11-12 ¶8-9)

Ndugu akimtazama ndugu mwenzake kwa hasira kwa sababu anafurahia mazungumzo pamoja na ndugu mwingine na mwanaye badala ya kusafisha Jumba la Ufalme.

JIULIZE, ‘Je, mimi huona sifa nzuri za ndugu na dada zangu kama Yehova anavyofanya badala ya kukazia fikira kutokamilika kwao?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki