Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Septemba uku. 16
  • Tumia Ukurasa wa Mwanzo wa JW.ORG Katika Huduma Yako

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tumia Ukurasa wa Mwanzo wa JW.ORG Katika Huduma Yako
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Dokezo la Kutumia Tovuti
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
  • Maswali Ambayo Huenda Umejiuliza
    Amkeni!—2019
  • Dokezo la Kujifunza
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
  • “Hiyo ni Mbinu Mpya!”
    Amkeni!—2016
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Septemba uku. 16
Picha za ukurasa wa mwanzo wa jw.org zikiangazia makala katika lugha mbalimbali.

MAISHA YA MKRISTO

Tumia Ukurasa wa Mwanzo wa JW.ORG Katika Huduma Yako

Ukurasa wa mwanzo wa tovuti yetu una makala na video zilizokusudiwa kuwavutia watu wenye mioyo minyoofu ambao si Mashahidi wa Yehova. (Mdo 13:48) Mara nyingi, ukurasa huo huzungumzia taarifa zilizo kwenye vyombo vya habari au mambo ambayo watu wanafikiria na kuzungumzia.

Unaweza kutumiaje ukurasa wa mwanzo katika huduma yako?

  • Angalia tovuti yetu kwa ukawaida. Angalia ni makala gani iliyoangaziwa kwenye ukurasa huo, na utafakari jinsi unavyoweza kuitumia kumsaidia mtu anayependezwa. (Ili kupata habari nyingine zilizoangaziwa karibuni kwenye ukurasa wa mwanzo, bofya “Ona Zaidi.”) Kufahamu mambo ya karibuni kwenye tovuti yetu kutakusaidia kuwa na habari mpya za kutumia katika huduma yako.

  • Tumia makala na video zilizoangaziwa kwenye ukurasa wa mwanzo kuanzisha mazungumzo. Habari hizo zinaweza kutusaidia kufahamu mambo ambayo huenda watu katika eneo wanafikiria.

  • Waonyeshe watu ukurasa wa mwanzo. Kazia habari hususa, na umwonyeshe mtu jinsi ya kupata habari mbalimbali kwenye tovuti yetu.

  • Shiriki kiunganishi. Watu fulani hawataki kuzungumza nasi moja kwa moja lakini wako tayari kutembelea tovuti yetu. Kwa hiyo usisite kumtumia mtu anayependezwa kiunganishi cha ukurasa wa mwanzo au cha makala au video hususa iliyoangaziwa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki