Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Septemba uku. 10
  • Unapohisi Umelemewa na Hali Ngumu Maishani

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Unapohisi Umelemewa na Hali Ngumu Maishani
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Unakumbuka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2020
  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Ayubu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
  • Kitabu Cha Biblia Namba 18—Yobu
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
  • Ayubu—Kielelezo cha Mwenendo wa Utawa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Septemba uku. 10

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Unapohisi Umelemewa na Hali Ngumu Maishani

Ayubu alipokabili majaribu, alilinganisha maisha yake na kazi ya kulazimishwa (Ayu 7:1; w06 3/15 14 ¶10)

Uchungu wake ulimsukuma kueleza hisia zake waziwazi (Ayu 7:11)

Hata alisema anataka kufa (Ayu 7:16; w20.12 16 ¶1)

Ndugu kijana akizungumza na rafiki mkomavu nyumbani kwake.

Ukihisi kwamba umelemewa na maisha, mmiminie Yehova moyo wako katika sala na umweleze rafiki mkomavu hisia zako—huenda hiyo ikawa hatua ya kwanza ya kupata kitulizo.—g 1/12 16-17.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki