HAZINA ZA NENO LA MUNGU
Jinsi Ayubu Alivyodumisha Usafi wa Kiadili
Ayubu alifanya agano na macho yake (Ayu 31:1; w10 4/15 21 ¶8)
Ayubu alitafakari madhara ya matendo yasiyofaa (Ayu 31:2, 3; w08 9/1 11 ¶4)
Ayubu alikumbuka kwamba Yehova anatazama mwenendo wake (Ayu 31:4; w10 11/15 5-6 ¶15-16)
Kuwa safi kiadili kunamaanisha kuwa safi na bila unajisi, si nje tu bali pia ndani. Tunataka kuwa safi kiadili moyoni mwetu pia.—Mt 5:28.