Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • wp22 Na. 1 uku. 3
  • Tunaweza Kushinda Chuki!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tunaweza Kushinda Chuki!
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Kwa Nini Kuna Chuki Sana?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2022
  • Utangulizi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2022
  • Wakati Ambapo Chuki Haitakuwapo Tena!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2022
  • Watu Ulimwenguni Pote Wanaathiriwa na Chuki
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2022
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2022
wp22 Na. 1 uku. 3
Picha: Mwanamume aliyefadhaika akifikiria jinsi watu mbalimbali wanavyomchukia. 1. Mwanamke aliyeshika simu anamkandamiza. 2. Mwanamke mwingine anamdharau. 3. Mwanamume anayesoma gazeti amemkasirikia. 4. Mtangazaji wa taarifa ya habari kwenye televisheni.

Tunaweza Kushinda Chuki!

Je, umewahi kuchukiwa?

Ikiwa hujawahi, huenda umewahi kuona watu wakionyesha chuki kwa njia moja au nyingine. Mara nyingi tunasikia habari kuhusu watu wanaochukiwa kwa sababu ya jamii yao, taifa lao, au kwa kuwa ni wapenzi wa jinsia moja. Matokeo ni kwamba serikali nyingi zinatunga sheria za kukabiliana na vitendo vya uhalifu vinavyosababishwa na chuki.

Watu wanaochukiwa huwachukia wengine pia. Mara nyingi watu hao hulipiza kisasi na hivyo kuchochea chuki zaidi.

Huenda umewahi kubaguliwa, kudhihakiwa, kuambiwa maneno yasiyofaa, na kutishwa. Hata hivyo, mara nyingi chuki huonyeshwa kwa njia kubwa zaidi. Inaweza kusababisha ghadhabu, kuwanyanyasa wengine, uharibifu wa mali, kuwashambulia wengine, ubakaji, mauaji, au hata mauaji ya kimbari.

Gazeti hili litajibu maswali yafuatayo na kuonyesha jinsi tunavyoweza kushinda chuki:

  • Kwa nini watu wengi wana chuki?

  • Tunawezaje kushinda chuki?

  • Je, kuna wakati ambapo chuki haitakuwapo tena?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki