Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • wp22 Na. 1 uku. 16
  • Watu Ulimwenguni Pote Wanaathiriwa na Chuki

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Watu Ulimwenguni Pote Wanaathiriwa na Chuki
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Tunaweza Kushinda Chuki!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2022
  • Kwa Nini Kuna Chuki Sana?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2022
  • Kwa Nini Kuna Chuki Sana Leo?​—Biblia Inasema Nini?
    Habari Zaidi
  • Kwa Nini Kuna Chuki Sana?
    Amkeni!—1997
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2022
wp22 Na. 1 uku. 16
Mmiliki wa duka ambalo bidhaa zake zimeibiwa, akitazama dirisha lililovunjwa huku wafanyakazi wake wakiondoa vioo vilivyovunjika.

Watu Ulimwenguni Pote Wanaathiriwa na Chuki

Wanadamu wameathiriwa na chuki.

Leo, taarifa za habari na mitandao ya kijamii huzungumzia sana watu wanaoonyesha chuki kupitia maneno, barua-pepe, intaneti na kutenda uhalifu unaochochewa na chuki. Pia, watu wamebaguliwa, wametengwa, wamedhihakiwa, wametukanwa, wametishwa, na mali zao zimeharibiwa. Watu ulimwenguni pote wanaathiriwa na chuki!

Gazeti hili linaonyesha jinsi ya kushinda chuki. Hii si ndoto tu. Ni badiliko halisi na la kudumu ambalo tayari limeanza kutokea ulimwenguni pote.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki