Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mrt makala 98
  • Tatizo la Upweke—Unaweza Kukabilianaje Nalo?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tatizo la Upweke—Unaweza Kukabilianaje Nalo?
  • Habari Zaidi
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Kanuni za Biblia zinazoweza kusaidia
  • Shinda Upweke kwa Urafiki—Biblia Inaweza Kusaidiaje
    Habari Zaidi
  • Tatizo Linalozidi Kuongezeka la Upweke—Biblia Inasema Nini
    Habari Zaidi
  • Upweke Katika Ulimwengu Uliojaa Mawasiliano
    Amkeni!—2010
  • Usiache upweke uathiri vibaya maisha yako
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1994
Pata Habari Zaidi
Habari Zaidi
mrt makala 98
Msichana aliyehuzunika, ameketi mbele ya kompyuta yake usiku sana akiwa amefunika uso wake kwa mikono.

Justin Paget/​Stone via Getty Images

Tatizo la Upweke—Unaweza Kukabilianaje Nalo?

  • “Karibu nusu ya watu wazima nchini Marekani wanakabiliana na upweke, na idadi kubwa zaidi ni vijana wa kati ya miaka 18 na 25.”​—Our Epidemic of Loneliness and Isolation: The U.S. Surgeon General’s Advisory on the Healing Effects of Social Connection and Community, 2023.

  • “[Shirika la Afya Ulimwenguni] limetangaza kuanzishwa kwa Tume ya Mahusiano ya Kijamii, itakayoshughulikia tatizo la upweke kama tatizo hatari kwa afya, na itajaribu kufanya mahusiano ya kijamii yapewe kipaumbele na kujaribu kutafuta njia za kupambana na upweke katika nchi zote ulimwenguni, hata katika nchi maskini.”​—Shirika la Afya Ulimwenguni, Novemba 15, 2023.

Biblia inatupatia ushauri unaofaa utakaotusaidia kusitawisha uhusiano mzuri na wengine ili tusiwe wapweke.

Kanuni za Biblia zinazoweza kusaidia

Punguza utendaji unaokufanya ujitenge na wengine. Utendaji huo unatia ndani kutumia mitandao ya kijamii kupita kiasi. Badala yake, tafuta nafasi za kuzungumza uso kwa uso na watu na kuanzisha urafiki wa kweli.

  • Kanuni ya Biblia: “Rafiki wa kweli hupenda nyakati zote naye ni ndugu ambaye amezaliwa kwa ajili ya nyakati za taabu.”​—Methali 17:17.

Tafuta nafasi za kuwasaidia wengine. Kuwafanyia wengine matendo ya fadhili huimarisha uhusiano kati yetu nao, na pia hutufanya tujihisi vizuri kihisia.

  • Kanuni ya Biblia: “Kuna furaha zaidi katika kutoa kuliko ilivyo katika kupokea.”​—Matendo 20:35.

Tembelea tovuti yetu ili upate habari nyingi zaidi kutoka kwenye Biblia zinazohusiana na jinsi ya kuanzisha urafiki mzuri.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki