Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ijwbq makala 7
  • Je, Mungu Ni Nguvu Zisizo na Utu?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Mungu Ni Nguvu Zisizo na Utu?
  • Maswali ya Biblia Yajibiwa
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Jibu la Biblia
  • Chanzo cha Kimungu cha Roho Takatifu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1979
  • Nyota Zinafunua Nguvu za Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Kupata Chanzo cha Nishati Yote
    Amkeni!—2005
  • Yehova Ni Nani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1998
Pata Habari Zaidi
Maswali ya Biblia Yajibiwa
ijwbq makala 7
Mtu anatazama nyota

Je, Mungu Ni Nguvu Zisizo na Utu?

Jibu la Biblia

Mungu ana nguvu zisizo na kifani katika ulimwengu wote. Kuhusu jinsi alivyoumba mabilioni ya nyota zisizohesabika, Biblia inasema hivi: “Inueni macho yenu juu, mwone. Ni nani ameviumba vitu hivi? Ni Yeye anayelileta jeshi lake kulingana na hesabu, ambaye [Mungu] zote anaziita kwa jina. Kutokana na wingi wa nguvu zenye msukumo, yeye pia akiwa hodari katika nguvu, hakuna hata moja kati ya hizo inayokosekana.”—Isaya 40:25, 26.

Lakini Mungu si nguvu tu zenye uwezo mkubwa. Biblia inasema kwamba ana hisia, kama vile upendo na chuki. (Zaburi 11:5; Yohana 3:16) Pia, inafunua kwamba Mungu anaweza kufurahishwa au kukasirishwa na matendo ya wanadamu.—Zaburi 78:40, 41.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki