-
Mathayo 12:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Akijua fikira zao, akawaambia: “Kila ufalme uliogawanyika dhidi yake wenyewe utaangamia, na kila jiji au nyumba iliyogawanyika dhidi yake yenyewe haitasimama.
-