-
Mathayo 12:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Akijua fikira zao, akawaambia: “Kila ufalme uliogawanyika dhidi yao wenyewe huja kwenye ukiwa, na kila jiji au nyumba iliyogawanyika dhidi yayo yenyewe haitasimama.
-