-
Mathayo 18:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 “Kwa kweli ninawaambia, mambo yoyote mtakayofunga duniani tayari yatakuwa yamefungwa mbinguni, na mambo yoyote mtakayofungua duniani tayari yatakuwa yamefunguliwa mbinguni.
-