-
Mathayo 27:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Pilato alipoona jitihada zake hazifaulu, na badala yake ghasia zilikuwa zikitokea, akachukua maji akanawa mikono mbele ya umati, akisema: “Mimi sina hatia ya damu ya mtu huyu. Shauri yenu.”
-