-
Mathayo 27:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Pilato alipoona jitihada zake hazifaulu, na badala yake ghasia zilikuwa zikitokea, akachukua maji akanawa mikono mbele ya umati, akisema: “Mimi sina hatia ya damu ya mtu huyu. Shauri yenu.”
-
-
Mathayo 27:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Alipoona kwamba haikufaidi kitu bali, badala ya hivyo, ghasia ilikuwa ikitokea, Pilato alichukua maji na kuosha mikono yake mbele ya ule umati, akisema: “Mimi sina hatia ya damu ya mtu huyu. Nyinyi wenyewe lazima mwone hilo.”
-