-
Marko 3:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Kwa kweli, hakuna yeyote anayeweza kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuiba mali zake isipokuwa kwanza amfunge mtu huyo. Hapo ndipo atakapoweza kuipora nyumba yake.
-