-
Marko 3:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Kwa kweli, hakuna yeyote ambaye ameingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu awezaye kupora bidhaa zake zenye kuchukulika isipokuwa kwanza amfunge huyo mtu mwenye nguvu, na ndipo atakapoipora nyumba yake.
-