13 Naye akawaruhusu. Ndipo wale roho waovu wakatoka na kuingia ndani ya wale nguruwe, kisha lile kundi likatimua mbio, likaruka poromoko* na kuzama baharini. Walikuwa karibu 2,000, nao wakafa maji baharini.
13 Naye akawaruhusu. Ndipo wale roho wachafu wakatoka na kuingia ndani ya wale nguruwe; na lile kundi likatimua mbio, likaruka poromoko, likaingia baharini, wakiwa karibu elfu mbili, nao wakafa maji mmoja baada ya mwingine katika bahari.+