-
Marko 5:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Naye akawaruhusu. Ndipo wale roho wasio safi wakatoka na kuingia katika wale nguruwe; na lile kundi likatimua mbio kali juu ya genge kuingia katika bahari, wakiwa karibu elfu mbili, nao wakafa maji mmoja baada ya mwingine katika bahari.
-