-
Marko 5:40Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
40 Ndipo wakaanza kumcheka kwa dharau. Lakini baada ya kuwatoa wote nje, akamchukua baba na mama ya yule mtoto pamoja na wanafunzi wake, akaingia mahali alipokuwa huyo mtoto.
-