-
Marko 5:40Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
40 Ndipo wakaanza kumcheka kwa dharau. Lakini, akiisha kuwatoa nje wote, akachukua baba na mama ya huyo mtoto mchanga na walio pamoja naye, naye akaingia mahali alimokuwa huyo mtoto mchanga.
-