-
Marko 9:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Kila mara anapomshambulia humwangusha chini, naye hutoa povu mdomoni na kusaga meno yake na kuishiwa nguvu. Niliwaambia wanafunzi wako wamfukuze, lakini hawakuweza.”
-