-
Marko 9:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 na popote pale amkamatapo humbwaga kwenye ardhi, naye hutoa povu na kusaga meno yake na kupoteza nguvu zake. Nami niliwaambia wanafunzi wako wamfukuze, lakini hawakuweza.”
-