33 Ndipo wale roho waovu wakamtoka mtu huyo na kuingia ndani ya wale nguruwe, kisha lile kundi likatimua mbio, likaruka poromoko,* likazama ndani ya ziwa na kufa maji.
33 Ndipo hao roho waovu wakamtoka mtu huyo na kuingia ndani ya wale nguruwe, na lile kundi likatimua mbio, likaruka poromoko, likaingia katika ziwa na kufa maji.+