-
Luka 8:33Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
33 Ndipo hao roho waovu wakaenda kutoka katika mtu huyo na kuingia katika wale nguruwe, na lile kundi likatimua mbio kali juu ya genge kuingia katika ziwa likafa maji.
-