-
Luka 13:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Ndipo akamwambia mtunza-mizabibu, ‘Kwa miaka mitatu nimekuwa nikija kutafuta matunda kwenye mtini huu, lakini sijayapata. Ukate! Kwa nini uendelee kuharibu ardhi?’
-