-
Luka 13:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Ndipo yeye akamwambia mtunza-mizabibu, ‘Sasa ni miaka mitatu ambayo nimekuja nikitafuta matunda juu ya mtini huu, lakini sijapata yoyote. Ukate! Kwa kweli kwa nini huo uiweke nchi bila mafaa?’
-