-
Luka 14:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Kisha akamwambia yule mtu aliyemwalika: “Unapoandaa mlo wa mchana au wa jioni, usiwaite rafiki zako, ndugu zako, watu wako wa ukoo, au jirani zako walio matajiri. Huenda wao pia wakakualika, na hivyo kukulipa ulichowafanyia.
-
-
Luka 14:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Halafu akaendelea pia kumwambia yule mtu aliyemwalika: “Unapoandaa mlo wa mchana au mlo wa jioni, usiwaite rafiki zako au ndugu zako au jamaa zako au jirani zako walio matajiri. Labda wakati fulani huenda nao pia wakakualika na hilo lingekuwa kukulipa.
-