-
Luka 14:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Kisha akamwambia yule mtu aliyemwalika: “Unapoandaa mlo wa mchana au wa jioni, usiwaite rafiki zako, ndugu zako, watu wako wa ukoo, au jirani zako walio matajiri. Huenda wao pia wakakualika, na hivyo kukulipa ulichowafanyia.
-
-
Luka 14:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Halafu akaendelea pia kumwambia mtu aliyemwalika: “Uandaapo mlo-mkuu au mlo wa jioni, usiite marafiki wako au ndugu zako au jamaa zako au majirani walio matajiri. Labda wakati fulani huenda nao pia wakakualika na hilo lingekuwa kukurudishia malipo.
-