-
Luka 15:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Akamjibu baba yake, ‘Tazama! nimekutumikia kwa miaka mingi na sijawahi kuvunja amri yako hata mara moja, lakini hujawahi kunipa hata mara moja mwanambuzi ili nijifurahishe pamoja na rafiki zangu.
-