-
Luka 15:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 Kwa kujibu akamwambia baba yake, ‘Hii ni miaka mingi sana ambayo mimi nimekutumikia wewe kama mtumwa na kamwe hata mara moja sijakiuka amri yako, na bado kamwe hata mara moja hukunipa mwana-mbuzi ili mimi nijifurahishe mwenyewe pamoja na marafiki wangu.
-