-
Yohana 16:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Mwanamke anapokuwa akizaa anahisi huzuni kwa sababu saa yake imefika, lakini baada ya kumzaa mtoto hakumbuki tena dhiki hiyo kwa sababu anashangilia kwamba mtu amezaliwa ulimwenguni.
-