-
Yohana 16:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Mwanamke anapokuwa akizaa anahisi huzuni kwa sababu saa yake imefika, lakini baada ya kumzaa mtoto hakumbuki tena dhiki hiyo kwa sababu anashangilia kwamba mtu amezaliwa ulimwenguni.
-
-
Yohana 16:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Mwanamke, anapokuwa akizaa, ana kihoro, kwa sababu saa yake imewasili; lakini wakati amekwisha zaa mtoto mchanga, yeye haikumbuki tena dhiki kwa sababu ya shangwe ya kwamba mtu amezaliwa ulimwenguni.
-