-
Matendo 5:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Lakini kuhani mkuu akasimama, na wote waliokuwa pamoja naye, ambao walikuwa wafuasi wa madhehebu ya Masadukayo, nao walikuwa wamejaa wivu.
-