-
Matendo 5:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Lakini kuhani mkuu akasimama, na wote waliokuwa pamoja naye, ambao walikuwa wafuasi wa madhehebu ya Masadukayo, nao walikuwa wamejaa wivu.
-
-
Matendo 5:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Lakini kuhani wa cheo cha juu na wote wale waliokuwa pamoja naye, lile farakano la Masadukayo lenye kuwako wakati huo, wakainuka na kuwa wenye kujawa na wivu,
-