-
Matendo 11:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Ndipo roho ikaniambia niende pamoja nao, bila kuwa na shaka hata kidogo. Lakini hawa ndugu sita pia walienda pamoja nami, nasi tukaingia ndani ya nyumba ya mwanamume huyo.
-