-
Matendo 11:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Kwa hiyo roho ikaniambia niende pamoja nao, bila kuwa na shaka hata kidogo. Lakini ndugu sita hawa pia walikwenda pamoja nami, nasi tukaingia ndani ya nyumba ya huyo mwanamume.
-