-
Matendo 18:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Pia, kwa sababu alitaka kuvuka kwenda Akaya, akina ndugu wakawaandikia wanafunzi wakiwahimiza wamkaribishe kwa fadhili. Basi alipofika huko, akawasaidia sana wale ambao kupitia fadhili zisizostahiliwa za Mungu walikuwa wameamini;
-