-
Matendo 18:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Pia, kwa sababu alitaka kuvuka kwenda Akaya, akina ndugu wakawaandikia wanafunzi wakiwahimiza wamkaribishe kwa fadhili. Basi alipofika huko, akawasaidia sana wale ambao kupitia fadhili zisizostahiliwa za Mungu walikuwa wameamini;
-
-
Matendo 18:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Zaidi, kwa sababu alikuwa akitaka kwenda kuvuka aingie Akaya, akina ndugu wakawaandikia wanafunzi, wakiwahimiza kwa bidii wampokee kwa fadhili. Kwa hiyo alipofika huko, aliwasaidia sana wale waliokuwa wameamini kwa sababu ya fadhili isiyostahiliwa [ya Mungu];
-