-
Matendo 21:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Baada ya kufika mahali tulipoweza kuona kisiwa cha Kipro, tukakiacha upande wa kushoto tukasafiri mpaka Siria, tukafika Tiro ambako meli ilipaswa kushusha shehena.
-