-
Matendo 21:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Baada ya kufika mahali tulipoweza kuona kisiwa cha Kipro, tukakiacha upande wa kushoto tukasafiri mpaka Siria, tukafika Tiro ambako meli ilipaswa kushusha shehena.
-
-
Matendo 21:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Baada ya kuja mahali tulipoweza kuona kisiwa cha Saiprasi tukakiacha nyuma upande wa kushoto tukasafiri kwa mashua hadi Siria, tukateremka hadi Tiro, kwa maana hapo mashua ilipaswa ipakue shehena yayo.
-