-
Matendo 21:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Lakini baadhi ya watu katika umati wakaanza kusema jambo moja kwa sauti kubwa na wengine jambo tofauti. Basi aliposhindwa kujua jambo lolote la hakika kwa sababu ya fujo hizo, akaamuru aletwe kwenye makao ya wanajeshi.
-