30 Basi siku iliyofuata, kwa kuwa alitaka kujua hasa sababu iliyowafanya Wayahudi wamshtaki, akamfungua na kuwaamuru wakuu wa makuhani na Sanhedrini yote wakusanyike. Kisha akamleta Paulo chini na kumsimamisha kati yao.+
30 Kwa hiyo, siku iliyofuata, kwa kuwa alitaka kujua kwa hakika ni kwa nini hasa alikuwa akishtakiwa na Wayahudi, akamfungua na kuwaamuru wakuu wa makuhani na Sanhedrini yote wakusanyike. Naye akamleta Paulo chini na kumsimamisha katikati yao.+