-
Matendo 28:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Lakini walitarajia kwamba atavimba au aanguke na kufa ghafla. Baada ya kusubiri kwa muda mrefu na kuona hajapatwa na jambo lolote baya, wakabadili maoni yao na kuanza kusema yeye ni mungu.
-