-
Matendo 28:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Lakini walitarajia kwamba atavimba au aanguke na kufa ghafla. Baada ya kusubiri kwa muda mrefu na kuona hajapatwa na jambo lolote baya, wakabadili maoni yao na kuanza kusema yeye ni mungu.
-
-
Matendo 28:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Lakini wao walikuwa wakitarajia atavimba kwa sababu ya mwasho au kwa ghafula aanguke akiwa mfu. Baada ya wao kungojea kwa muda mrefu na kuona kwamba hakuna jambo lolote lenye kuumiza lililotukia kwake, wakabadili maoni yao na kuanza kusema yeye ni mungu.
-