-
Waroma 1:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Lakini, akina ndugu, sitaki mkose kujua kwamba mara nyingi nilikusudia kuja kwenu ili nipate matunda kati yenu pia kama ilivyo katika mataifa mengine, lakini nimezuiwa mpaka sasa.
-