-
Waroma 1:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Lakini, akina ndugu, sitaki mkose kujua kwamba nyakati nyingi nilikusudia kuja kwenu, lakini nimezuiwa hadi sasa, ili niweze kujipatia baadhi ya matunda miongoni mwenu pia kama vile miongoni mwa yale mataifa mengine.
-