-
1 Wakorintho 9:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Hata kama mimi si mtume kwa wengine, hakika mimi ni mtume kwenu! Kwa maana ninyi ndio muhuri unaothibitisha utume wangu katika Bwana.
-