-
1 Wakorintho 9:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Hata kama mimi si mtume kwa wengine, hakika mimi ni mtume kwenu! Kwa maana ninyi ndio muhuri unaothibitisha utume wangu katika Bwana.
-
-
1 Wakorintho 9:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Ikiwa mimi si mtume kwa wengine, hakika kabisa niko hivyo kwenu, kwa maana nyinyi ndio muhuri unaothibitisha utume wangu katika uhusiano na Bwana.
-