-
2 Wakorintho 9:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 kwa maana ninajua utayari wenu ambao ninajisifia kwa Wamakedonia, kwamba Akaya imekuwa tayari kwa mwaka mmoja sasa, na bidii yenu imewachochea wengi kati yao.
-