-
2 Wakorintho 9:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 kwa maana ninajua utayari wenu ambao ninajisifia kwa Wamakedonia, kwamba Akaya imekuwa tayari kwa mwaka mmoja sasa, na bidii yenu imewachochea wengi kati yao.
-
-
2 Wakorintho 9:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 kwa maana najua utayari wenu wa akili ambao juu ya huo najisifu kwa Wamakedonia juu yenu, kwamba Akaya imesimama tayari kwa mwaka mmoja sasa, na bidii yenu imechochea walio wengi kati yao.
-