-
2 Wakorintho 12:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Kwa maana hata nikitaka kujisifu, sitakuwa mtu asiye na akili, kwa kuwa nitasema ukweli. Lakini sitaki kufanya hivyo, ili yeyote asinisifu zaidi ya yale anayoona kwangu au kusikia kutoka kwangu,
-